ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, March 8, 2016

USIKU WA BABA NA MWANA ULIVYOKUWA JUMAMOSI NDANI YA VILLA PARK MWANZA.

January Eleven (L) akiimba sanjari na mkali mwingine wa JJ Band Abby Solo katika usiku wa Baba na mwana uliofanyika Jumamosi mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Villa Park Mwanza. Shughuli hiyo itaendelea tena kuunguruma kila jumamosi kiotani hapo.
Ni kwa hisia zaidi > January Eleven (L) akiimba sanjari na mkali mwingine wa JJ Band Abby Solo katika usiku wa Baba na mwana uliofanyika Jumamosi mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Villa Park Mwanza. Shughuli hiyo itaendelea tena kuunguruma kila jumamosi kiotani hapo.
January Eleven (L) akimchombeza mpiga saxaphone wa JJ Band  katika usiku wa Baba na mwana uliofanyika Jumamosi mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Villa Park Mwanza. Shughuli hiyo itaendelea tena kuunguruma kila jumamosi kiotani hapo.
Bass guitarist wa JJ Band.
Keyboardist. 
Fundi wa JJ Band ambaye pia ni Producer wa Jembe FM Oxy Okeleky 
Sololist.
Mashambulizi hatari ambayo yalifanikiwa kuwakonga mashabiki waliojitokeza usiku wa Baba na Mwana ndani ya Villa Park Mwanza.
Dunda dunda.
Rais wa JJ Band.
Taswira mchanganyo... watu walisugua ile mbaya.
Red Carpet na Friends wa Jembe .
Live.
Nani.........
Shughuli ilipata mwenyewe.
Pale viti vya mashabiki vilipoota miiba, dansing flow ndilo lilikuwa kimbilio lao.
Maua Classic.
Heineken
Stage Show wa Seper kamanyola...hatariiiiiiiiii
Bana Super Kamanyola wakitumika kwa stage la Villa park Mwanza.
Hapa sauti ngumu ya gitaa iliunguruma toka kwa Karbone.
Sebenuka...Super Kamanyola.
He we shabiki.........nini tena?
Parakatakunkaku....!!
Vitu adimu.
Rapa machachari wa Super Kamanyola.
Shaaaaaaa!!!
Krinkiki.....mtikisiko .
Friendz katika red carpet.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.