ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, March 24, 2016

SHEIN KUAPISHWA, JPMKUSHUHUDIA. MEYA AMWAGA MAMILIONI KINONDONI. WABUNGE WAHOJIWA TAKUKURU.

Shein kuapishwa, JPM kushuhudia. Meya amwaga mamilioni Kinondoni. Makonda aahidiwa na balozi wa China; 

Wabunge wahojiwa Takukuru. Ndugai atoa ufafanuzi wa tuhuma za rushwa.  Askari wanaswa wakiiba mafuta ya ndege Dar; 

 Wabunge CUF Zanzibar kufanya kazi kivyao. Vita vya uspika waanza Zanzibar.ACT –Wazalendo yamvaa Ndugai.  Tatizo la ajira yaiumiza serikali ya JPM.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.