ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 20, 2016

MWANDISHI WA DW ALIYETOWEKA APATIKANA


Salma
Mwandishi aliyewakilisha kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) visiwani Zanzibar Salma Said na ambaye alitoweka Ijumaa, amepatikana.
Kamanda wa polisi wa Dar Simon Siro amethibitisha kupatikana kwa mwanahabari huyo.
BBC imezungumza na Mume wa Salma Said, Bw Ali Salim Khamis, ambaye amesema kwa sasa Salma yumo anatoa maelezo kwa polisi Dar es Salaam. CHANZO: BBC SWAHILI.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.