ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 14, 2016

MVUA YALETA MAAFA RUKWA.

Familia zaidi ya 70 hazina mahali pa kuishi mkoani Rukwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na kimbunga kuharibu makazi na mali zao.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.