ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 7, 2016

MAGAZETI YA LEO> KIJAZI AMRITHI SEFUE IKULU, WAUGUZI MWANZA WATUMBULIWA, UKAWA WAITWA KWA MESEJI.

Kijazi amrithi Sefue ikulu. Wauguzi Mwanza watumbuliwa. UKAWA waitwa kwa meseji. Mabalozi waliotakiwa kurejea wafunga virago.

NSSF wanukia ufisadi wa kutisha.  ZEC yaibana mbavu CUF uchaguzi wa marudio. Mwekezaji Mwiba kutumbuliwa jipu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.