ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 14, 2016

LOWASSA NA MBOWE WAONGOZA MAFURIKO YA KUMTAMBULISHA KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA JIJINI MWANZA.

Aliyekuwa mgombea wa kiti cha urais kupitia UKAWA ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiwasili kwenye uwanja wa Furahisha jijini Mwanza mkutano wa hadhara kumtambulisha Katibu Mkuu mpya wa Chama hicho Vicent Mashinji.
Picha za awali za tambulisho wa Katibu mkuu wa CHADEMA Ndg Dr Vincent Mashinji uliofanyika jana jijini Mwanza mara baada ya hapo jana kuchaguliwa rasmi kuibba mikoba ya ukatibu mkuu wa CHADEMA iliyoachwa na aliyekuwa katibu mkuu DR SLAA.
Mweyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akizungumza na wananchi waliofurika kwenye uwanja wa Furahisha jijini Mwanza mkutano wa hadhara kumtambulisha Katibu Mkuu mpya wa Chama hicho Vicent Mashinji.Picha za awali za tambulisho wa Katibu mkuu wa CHADEMA Ndg Dr Vincent Mashinji uliofanyika leo jijini Mwanza mara baada ya hapo jana kuchaguliwa rasmi kuibba mikoba ya ukatibu mkuu wa CHADEMA iliyoachwa na aliyekuwa katibu mkuu DR SLAA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.