Mashahidi wa kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika Jimbo la Nyamagana jijini Mwanza wanatarajiwa kuanza kusikilizwa siku ya jumatatu ya wiki ijayo tarehe 14/march 2016 baada ya kukamilika kwa taratibu nyingine za kisheria.
Awali jana kabla ya kesi hiyo kuanza, asubuhi mapema ilibidi jeshi la polisi kufanya kazi ya ziada ya kuwaondoa wananchi waliojazana ndani ya ukumbi wa mahakamani hapo ili kupaweka mahala hapo kuwa sehemu ya usalama.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.