ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, March 15, 2016

HAFLA YA KUAPISHA WAKUU WA MIKOA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mhe. Evarst Ndikilo ala kiapo cha utii kuutumikia mkoa wa Pwani, huku Stanslaus Magesa akiapa kuutumikia vema mkoa wa Mara.   

John Mongella Kuliongoza Jiji La Mwanza.

Ni kiapo kinachohusisha uti na uaminifu katika utendaji, John Mongella aapishwa kuuongoza mkoa wa Mwanza. 


Paul Makonda Akila Kiapo.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akila kiapo mbele ya rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John. Magufuli.


Alichozungumza Rais Magufuli.

Sikiliza kile alichokiongea rais Magufuli baada ya hafla ya kuapisha wakuu wa mikoa ikulu jijini Dar es Salaam.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.