ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 23, 2016

MAGAZETI YA LEO> CUF YAKATAA KUMTAMBUA SHEIN, CCM YAGUSIA SERIKALI YA KITAIFA


CUF yakataa kumtambua Shein, CCM yagusia serikali ya kitaifa. Diwani pekee CCM Arumeru afa kwa kuangukiwa na mti.

 Bunge laanza kuchafuka. Wabunge  12 wajitumbua wenyewe kamati za bunge. Dar mikononi mwa CHADEMA. Mradi wa DART waiva.

 Afisa kizimbani kwa tuhuma za rushwa. Shein kuapishwa kesho. SMZ yatangaza mapumziko. Mjamzito ajifungulia mtoto chooni Amana.  Sarah Dumba afariki. JPM,TAMWA wamlilia.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.