ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 23, 2016

@BATA VILA LOUNGE NDIO NDIO HABARI YA MUJINI HIKI NI KIOTA KIPYA KILICHOFUNGULIWA NDANI YA JIJI LA ARUSHA NI SHIDAAAAAAAA

 wageni wa alikwa wakiwa wanashangilia ndani ya kiota kipya cha BATA VILA LOUNGE kilichopo sakina jijini  Arusha wanakwambia apa ni fuluuuu Bata kwa kwenda mbele

 ulikuwa ni usiku wa staree tu ndani ya bata vila loungle sakina  wanakuambia njoo usikilize mziki laini na wa kistaarabu 


 chezea mtu na shemeji yake wewe nao walikuwa wanapata raha ndani ya ukumbi mpya wa bata vila sakina ni shidaaaaaaaaaaaaaa

 BATA VILA   lounge utakutana na wadada wa kila aina wadada watanashati wadada wa ukweli na wanawake wote wa nguvu

 walikutana pia waliokuwa awajaonana mda mrefu  ndani ya ukumbi  huu wanakwambia staree ni mpaka ukimbie mwenyewe ni kuanzia jumatatu hadi   jumatatu

mkurugenzi wa Libeneke la kaskazini blog kati kati woinde shizza  akiwa na wadau ndani ya Bata Vila Lounge  kwa sasa hivi ndio habari ya A-Town ni shida

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.