ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 21, 2016

AJALI MBAYA MSAFARA WA WABUNGE KAMATI YA TAMISEMI BAGAMOYO ...LORI LAPARAMIA MSAFARA , VIFO VITANO VIMERIPOTIWA.

Msafara wa Wabunge wa kamati ya Tamisemi wapata ajali katika eneo ya mteremko wa kerege. Watumishi 5 wa Halmashauri ya Bagamoyo na dereva wamefariki ila wabunge wamepona wote. Hii ni baada ya Lori kuparamia msafara wao. Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi.
Watano wamefariki dunia DPLO hilda, Mwanasheria Kiliba na Pallangyo Mchumi, madereva wawili mmoja gari la TASAF mwingine gari la Mkurugenzi.

Walioumia ni DED Matovu, Juliana - Engineer wa maji mweka Hazina Mashauri, Mwangata - Afisa Maendeleo ya Jamii na Amadeus Mbuta Mratibu TASAF.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.