ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 6, 2016

HATIMAYE RAIS MAGUFULI AMTANGAZA KATIBU MKUU KIONGOZI MPYA


March 6 2016 Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza katibu mkuu kiongozi mpya kuchukua nafasi ya aliyekua kwenye nafasi hiyo Ombeni Sefue.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.