ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, February 14, 2016

NATURE AMFUNIKA TEKNO MUZIKA FESTIVAL MWANZA

Mkali kutoka nchini Nigeria Tekno akisalimiana na wakazi wa Mwanza mara baada ya kulilaki jukwaa la Muzika Festival lililofanyika mwishoni mwa wiki Jembe Beach Resort.Tambasha hilo limekuja ikiwa ni moja ya matukio ya burudani yatakayo tawala kabla ya Tamasha lenyewe lijulikanalo kama JEMBEKA FESTIVAL linalotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu jijini Mwanza.

Chungulia alichokifanya Tekno kwa stage la Jembe Beach jijini Mwanza.
Juma Nature alifanya vyema sana....kwa kufanya zaidi ya kile ambacho wengi hawakukitaraji.

Chungulia kideo cha Nature na swahiba wake Richie One katika Tamasha la Muzika Festival Road to Jembeka Festival 2016. 
No.2 Chungulia kideo cha Nature na swahiba wake Richie One katika Tamasha la Muzika Festival Road to Jembeka Festival 2016. 
Le BebeZ.
Pamoja sana.
Nature akisema nao.
Seyi Shey toka nchini Nigeria ile kupanda jukwaa na machachari ya muwasho washo ...mara Trrrrrr akala mweleka kutokana na viatu virefu alivyokuwa kajikoki navyo....tukio ambalo alikudhuru perfomance yake zaidi ya kufanya vyema zaidi akimiliki vyema jukwaa la Muzika Festival lililofanyika mwishoni mwa wiki Jembe Beach Resort.Tambasha hilo limekuja ikiwa ni moja ya matukio ya burudani yatakayo tawala kabla ya Tamasha lenyewe lijulikanalo kama JEMBEKA FESTIVAL linalotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu jijini Mwanza.
Seyi Shey 
Seyi Shey katika ubora wake.
Alikatatisha na kukinukisha ile kisawasawa.

Wadau hawakusita kumpa heshima yake wakiimba naye mwanzo mwisho.
Ommy Dimpoz yu mmoja kati ya wakali walioibuka stage na suprizE za aina yake na kupata shangwe za harati.
Mwanza.
Uwaaaaaaa.
Kila dakika ya Ommy Dimpoz kwa stage ilikuwa inamatumizi yake.
Watch it.....
Hatariiiii.
Homa ya Technomania pale inapowapanda mashabiki....balaaa.
Tekno alivua kila kitu akigawa kugawa kwa mashabiki.
Tekno iZ Killing 
Kutoka kushoto Jembe DjZ> Deejay K-Flip, Dj Mike Beats na Chriss The Dj.
Wosup Mwanza aksante sana kwa ushirika.
Poz la picha tukioni.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.