ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, August 15, 2015

CCM YAKANUSHA AHADI FEKI INAYOSAMBAZWA IKISEMEKANA NI YA DR. MAGUFULI

CCM chakanusha taarifa zilizo sambazwa mitandaoni juu ya ahadi inayosemekana kutolewa na Dr.Magufuli kuwapa Laptop walimu wote nchini. 

TaSUBa WATAMBULISHA RASMI TAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO

DSC_0016
Mwenyekiti wa Kamati kuu wa tamasha la 34 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, Bw. John Mponda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) katika ukumbi wa MAELEZO mapema leo 8.14.2015. Wengine ni Mwalimu Christa Kombo ambaye ni Mwenyekiti wa Maonyesho (kulia) na kushoto ni Bw. Frank Sika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Majukwaa na Ufundi wa tamasha hilo ambalo linatarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba mwaka huu (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog

TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO
(TaSUBa)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU .TAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO.
Tamasha la kimataifa la sanaa na utamaduni Bagamoyo liliasisiwa mwaka 1981 na Chuo cha Sanaa Bagamoyo ambacho kwa sasa ni Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.

Lengo kuu la Tamasha kwa wakati huo ilikuwa ni kuwapa nafasi wanafunzi wa chuo cha sanaa kuonyesha kwa vitendo yale waliojifunza kwa mwaka mzima kwa kuwashirikisha wakazi wa Bagamoyo, baada ya Tamasha hilo kufanikiwa uongozi wa chuo uliamua tamasha hilo lifanyike kila mwaka kwa kushirikisha Vikundi mbalimbali vya ndani na nje ya nchi ili kubadilishana Uzoefu na hivyo kujizolea umaarufu ndani na nje ya Tanzania.

Tamasha la kimataifa la sanaa na utamaduni Bagamoyo mwaka huu litafanyika kwa mara ya 34 kuanzia tarehe 21-27 Septemba katika kumbi na viunga vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ambao ndio wenyeji na waandaaji wa tamasha hilo kongwe Tanzania.

Tamasha la mwaka huu linabeba Kauli mbiu isemayo SANAA NA UTAMADUNI KATIKA UCHAGUZI HURU NA WA AMANI’ Aidha kutakuwa na mada ndogondogo zitakazotolewa kupitia kongamano na warsha zitakazohusu Haki za binadamu, Rushwa na kupinga Mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)

Tamasha la mwaka huu litahusisha Ngoma za Asili, Maigizo, Sarakasi, Mazingaombwe, Muziki wa kisasa na asili, Sanaa za Ufundi na bidhaa mbalimbali.

Hadi sasa jumla ya vikundi 48 kutoka ndani na nje ya Tanzania vimethibitisha kushiriki,ambapo vikundi 43 ni kutoka ndani ya Tanzania na vikundi 5 kutoka nchi za Kenya, Namibia, Afrika Kusini, Korea na Congo.

Hadi kufikia sasa hakuna mdhamini yoyote aliyejitokeza kudhamini Tamasha hili na hii imepelekea vikundi kujigharamia na TaSUBa kugharamia Uendeshaji,hivyo Taasisi inatoa wito kwa wadau mbalimbali wa sanaa,Makampuni,Taasisi za serikali na zisizo za serikali kujitokeza kudhamini tamasha hili muhimu kwa mustakabali wa sanaa na utamaduni wa Mtanzania.

Kwa yeyote anayehitaji kuchangia tamasha hili anaombwa awasiliane na Kamati ya maandalizi kwa mawasiliano hapo chini.

Mtendaji Mkuu, TaSUBa, S.L.P 32, BAGAMOYO, Tanzania, Simu.: 0255 023 2440149
Barua pepe: bagamoyofest@gmail.com, Tovuti: www.tasuba.ac.tz
Namba za Simu: +255(0) 754 310 425, +255(0) 787 542 242 na +255(0) 655 840 405
ASANTENI.
___________
JOHN MPONDA
M/KITI WA TAMASHA
14/8/2015
DSC_0029
Mwenyekiti wa Kamati ya Maonyesho wa TaSUBa, Mwalimu Christa Kombo akifafanua jambo juu ya tamasha hilo kwa mwaka huu litakavyokuwa huku mambo mbalimbali yakiwa yamezingatiwa ikiwemo ubora wa vikundi na wasanii kutoka ndani na nje. Ambapo pia aliweza kufafanua juu ya maadili ya Sanaa katika tasnia ya burudani kwa waandishi wa habari (Hawapo pichani). anayemfuatia ni Mwenyekiti Kamati Kuu ya Tamasha hilo la 34, Bw. John Mponda.
DSC_0040
Mwenyekiti wa Kamati ya Majukwaa na Ufundi wa TaSUBa, Frank Sanga akielezea idadi ya vikundi vitakavyoshiriki na namna TaSUBa ilivyojipanga katika kuboresha utamaduni kupitia tamasha hilo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani)..

WANAFUNZI WAWILI WAPOTEZA MAISHA MUDA MFUPI TU BAADA YA KUTOKA DARASANI.

Wanafunzi wawili wapoteza maisha Mkoani Singida baada ya kugongwa na pikipiki muda mfupi baada ya kutoka darasani.

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA KONGAMANO LA PILI LA DIASPORA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC
Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC, Bw. Matheu Lamolle Mtafiti wa Massoko wa Taasisi ya International Trade Centre (ITC) ya Uswisi ambao ndio waliokuwa wadhamini wakuu wa kongamano hilo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu  Zanzibar (Utawala Bora)  Mhe Dk Mwinyihaji Makame, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania DMV Marekani  Bw. Iddi Sandaly, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula na Bi Mariam Mungula wa Diapora London
MC wa hafla hiyo ambaye ni Mratibu wa Dawati la Diaspora katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bi Suzana Mzee akiwa kazini
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.

Wana Diaspora wa London na Maputo

Mwanahabari wa kamati ya Diaspora na blogger maarufu nchini Maggid Mjengwa na mdau.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Mdau wa Diaspora akichukua taswira ya hafla
Rais Kikwete akihutubia wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  wakimsikiliza Rais Kikwete katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake
Rais Kikwete akisisitiza umuhimu wa wana Diaspora kuwekeza nyumbani
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.
Rais Kikwete akitoa hati kwamwakilishi wa kampuni ya HUWAWEI ambao ni  wadhamini wa hafla hiyo
Hati kwa mdau mdhmini
Hati ya udhamini kwa PPF inayopokewa na Bi Lulu

Hati ya udhamini kwa NIC
Hati kwa mdau
Hati kwa mdhamini
Hati kwa mdhamini
Hati kwa Mamlaka ya Bandari
Hati kwa Shirika la Nyumba
Hati kwa mdhamini
Hati kwa Azania Bank
Hati kwa mdhamini
Hati kwa mdhamini toka Coca Cola
Hati kwa mdhamini
Hati kwa mdhamini toka Clouds FM
Hati kwa mdhamini
Hati kwa mdhamini Mkuu
Hati kwa mdhamini mkuu
Hati na pongezi kwa mdhamini mkuu
Salamu toka kwa mdau kijana toka China
Peter Msechu na bendi yake jukwaani
Hafla ilinogeshwa na onesho la mavazi la Kiafrika toka kwa Fabak Fashions
Wanamitindo wa Fabak Fashions
Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo
Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo wake
Rais Kikwete akapata picha za pamoja na wadau