ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, November 20, 2015

RAIS MAGUFULI AZINDUA BUNGE KWA HOTUBA YENYE HISIA: ARUDIA AHADI ALIZOZITOA KAMPENI ZA UCHAGUZI AKIMAANISHA ANA DENI KWA WATANZANIA

VIPAUMBELE NILIVYONASA BUNGENI DOM:- *Dawa za kulevya ni janga linaloathiri vijana wengi ameahidi kushughulikia mtandao huo na wakubwa wanao husika.

*Mapambano ya rushwa na ufisadi ameahidi kwa wananchi na kilichobaki utekelezaji. 

*Nimeahidi kuunda mahakama ya Rushwa na ufisadi naamini hawataniangusha katika hili sitakuwa na kigugumizi. 

*Wafanyakazi wazembe... Hatuwezi kulea watu ambao wanalipwa mishahara tu wakati hawafanyi kazi yeyote.

*Nitadhibiti warsha ambazo hazina umuhimu katika Serikali yetu wala kuongeza ufanisi kwa wafanyakazi.

*Naahidi kudhibiti Safari za nje ambazo zimekuwa zikigharimu Serikali Fedha nyingi ambazo zingeweza kutumika katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo..

*Serikali ya awamu ya 5 itaongeza wigo katika ukusanyaji wa mapato ukizingatia kuwa kodi ni kitu muhimu na nilazima zikusanywe.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.