ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 6, 2015

LOWASSA AHANI MSIBA WA MZEE KISUMO, KIJIJINI KWAKE USANGI, MKOANI KILIMANJARO

Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya Chadema,Mh. Edward Lowassa akiweka shada la maua katika kaburi la aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015. Picha na Othman Michuzi.

Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya Chadema,Mh. Edward Lowassa, akisaini kitabu cha maombolezo, wakati alipofika kuhani msiba wa aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015. Picha na Othman Michuzi.
Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya Chadema,Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Kaka wa Marehemu Mzee Peter Kisumo, Mzee Daniel Mchangila, wakati alipofika kuhani msiba wa aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015. Kulia ni Mama Mdogo wa Marehemu Mzee Kisumo, Bi. Nashati Mbawa.Picha na Othman Michuzi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.