ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, September 3, 2015

MZEE KHALFANI NGASA / BABA MZAZI WA MRISHO NGASA HUYU HAPA NDANI YA SPORTS RIPOTI.

**SPORTS RIPOTI** Kama kawaida yake siku za Jumatano na Alhamisi hukukutanisha na Jukwaa la Wakongwe PART One jana katika hiyo PART ONE nimeongea na baba wa mchezaji wa Dar es salaa Yanga Africans Mrisho Ngasa, huyu si mwengine bali ni Mzee Khalfan Ngasa mchezaji wa zamani wa timu za Pamba na Simba, jeh! Wajua mwanae karithi nini toka kwake??!!! Duh hakuna timu ya soka ulaya anayoishabikia. Aelezea visa vitamu na vichungu sokani. Mizengwe:- walizimiwa taa Zanzibar dakika ya 88 wakiongoza duh... Sikiliza jEMBe fM saa 3 kamili usiku huu hadi 4 kamili. Mtamboni nahodha wako @johnanatory @kinkulah77_master Tupate popote ulimwenguni nenda kwenye play store yako download kitufe cha jEMBe fM sikiliza LIVE kwa simu yako ya mkononi Oyomba yesSs BOFYA PLAY KUSIKILIZA @jembenijembe

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.