ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, August 27, 2015

KISA CHA REGINALD MENGI KUSAHAU KOTI JUKWAA KUU CHASIMULIWA NA MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA NA PAMBA JUMA AMIR.

**SPORTS RIPOTI** Usiku wa jana (jumatano) ndani ya Jukwaa la Wakongwe PART One Juma Amir, akisimulia mchezo wa Taifa Stars ulio sababisha mfadhili wao enzi hizo Reginald Mengi kusahau koti lake Jukwaani akiwazawadia mashabiki, baada ya kupagawa na ushindi waliokuwa wakiungoja zaidi ya miaka 20. 

Juma Amir hapa anaelezea visa vitamu na vichungu sokani..... Sikiliza jEMBe fM saa 3 kamili usiku huu hadi 4 kamili LEO kusikia PART TWO. Mtamboni nahodha wako @johnanatory @kinkulah77_master Tupate popote ulimwenguni nenda kwenye play store yako download kitufe cha jEMBe fM sikiliza LIVE kwa simu yako ya mkononi Oyomba yesSs @jembenijembe

Kama uliikosa part ONE hii hapa BOFYA PLAY

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.