ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 6, 2015

MAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WAJUMUIKA NA WATOTO YATIMA KULA IFTAAR YA PAMOJA

Majaji wa Bongo Star Search kuelekea msimu wa nane wa BSS2015, hivi majuzi siku ikiwa ni siku moja kabla ya kuanza mchakato wa kusaka vipaji mkoani Mwanza walijumuika na watoto Yatima wa kituo cha Chakuwama kilichopo Mwenge, Dar Es Salaam na kula Iftaar ya kipindi hiki cha mfungo wa Ramadn na kutoa misaada mbali mbali.

Kituo hicho kina jumla ya watoto yatima 100 kuanzia wachanga mpaka miaka 16 na wahudumu 10. 

ZIFUATAZO NI PICHA TUKIO ZIMA.














Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.