CHANZO: JAMII FORUM
Conrad Mtenga boss PCCB aliyekuwa na cheo cha Mkaguzi wa Kanda (Zonal Inspector) kapata ajali na kufariki dunia akiwa njiani kwenda Njombe kutangaza nia ya Ubunge.
Familia yote IPO ICU Mke na Watoto, amefariki yeye mwenyewe na kampeni manager wake"
Sad.. May his soul RIP
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.