ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 1, 2015

HII NDIYO KAMATI KUU (CC) YA CCM ITAKAYOPITISHA MAJINA MATANO YA WAGOMBEA URAIS KWAAJILI YA KUPIGIWA KURA NA NEC KUPATA MGOMBEA MMOJA.

Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja.
1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Dr. Ally Mohamed Shein 3. Phillip Japhet Mangula 4. Abdulrahman Kinana 6. Dr. Mohamed Ghalib Bilal 7. Mizengo Kayanza PeterPinda 8. Balozi Seif Ali Iddi 9. Anna Semamba Makinda 10. Pandu Amir Kificho 11. Rajab Luhwavi 12. Vuai Ali Vuai 13. Nape Moses Nnauye 14. Mohammed Seif Khatibu 15. Zakhia Hamdan Meghji 16. Asha Rose Migiro 17. Sophia Simba 18. Sadifa Juma Khamis 19. Abdallah Majura Bulembo 20 Jenister Mhagama 21. William Lukuvi 22. Steven Masato Wasira 23. Emmanuel John Nchimbi 24. Pindi Chana 25. Jerry William Slaa 26. Adam Kimbisa 27. Shamsi Vuai Nahodha 28. Hussein Ally Mwinyi 29. Maua Daftari 30. Samia Suluhu 31. Salim Ahmed Salim 32. Makame Mbarawa 33. Hadija Abood
Nafasi zilizo wazi:
34. Anna Kajumulo Tibaijuka (ametolewa kutokana na kashfa ya Escrow) 35. Salmin Awadhi (amefariki)
Kabla ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012 wenyeviti wastaafu (taifa) na makamu wenyeviti wastaafu (taifa) walikuwa wajumbe wa kamati kuu. Kwa sasa wana nafasi yao kama Baraza la Ushauri ambalo wajumbe wake ni hawa wafuatao:
1. Ally Hassan Mwinyi - Mwenyekiti 2. Pius Msekwa - Katibu 3. Benjamin William Mkapa - Mjumbe 4. Aman Abeid Karume - Mjumbe 5. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
Hawa wazee wa Baraza la Ushauri wana nafasi yao katika ushauri kwa kamati kuu kuhusu wagombea urais. Vikao vyao havina kalenda hukutana tu pale linapokuwa jambo muhimu na mahususi linalohitaji mawazo yao.
Maamuzi ya Kamati Kuu ni kwa consensus (busara/common sense), sio kura.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.