ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 26, 2015

UZINDUZI WA MAJI YA DASANI KATIKA MUONEKANO MPYA

Mkuu wa Masoko wa Nyanza Bottling Company LTD Marco Masaka akitoa taarifa ya uzinduzi wa Dasani mwonekano mpya mbele ya wanahabari na wananchi waliofurika katika viwanja vya nje ya lango kuu la kampuni hiyo iliyoko Igoma jijini Mwanza. B
Kwa muda mrefu NBCL wamekuwa wakisambaza maji katika ujazo wa 500mls na 150mls hali ambayo imewapa mafanikio makubwa kutokana na kupendwa kwa maji yao wanayozalisha, kutokana na tafiti zilizofanywa kwa watanzania walio wengi kumekuwepo na hitaji la kubadili mwonekano wa chupa na ujazo ili kumpa mtumiaji burudani na uchangamfu zaidi.
Maji ya Dasani ujazo wa 400mls na 1300mls yanaruhusu mtumiaji kutembea yona mkononi bila usumbufu.

Ni chupa yenye mvuto wa kupendeza zaidi.

Lebel yake ina rangi ya kizalendo.

Yanakidhi hitaji la kiu ya mlaji.

Yanapatikana katika bei inayoruhusu kila mlaji kuimudu.
Sasa ni wakati wa kuionja ladha.
Selfie kwa muonekano mpya wa Dasani.
CheeeerZ ....!!
Safi...
Dasani team.
NBCL imeweza kuongeza ajira kwa watanzania kwani tayari imeweza kuzalisha ajira zipatazo 235 kwenye mashine zao za uzalishaji maji.
Wakuu wa vitengo mbalimbali Nyanza Bottling Company Limited.
Hapo vipi.
Maji haya yatauzwa kwenye maduka ya rejareja, mawakala na wauzaji wadogowadogo walioko kwenye vituo vya mabasi na maeneo mbalimbali ya burudani nchini.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.