ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, May 15, 2015

DJ K FLIP SIMPLE SCRATCHES @ JEMBE FM 93.7 MWANZA


Ni ijumaa mazee na kama unataka kula ngoma za kijanja ile kisawasawa + Live Band basi tukutane Jembe Beach Malimbe Mwanza nchini Tanzania, ikiwa ni njia moja kuelekea siku ya kutengeneza historia katika tasnia ya kubongesha kwa hewa tarehe 23/05/2015 ndani ya uwanja wa CCM Kirumba.... Jembe ni Jembe Watu wana maswali mengiiiii. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.