ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, April 21, 2015

AKON AWARDS TANZANIA NATIVE MAYUNGA ANDREW NALIMI THE TOP TITLE AS WINNER OF THE AIRTEL TRACE MUSIC SUPER STAR COMPETITION

Mwakilishi kutoka Tanzania Nalimi Mayunga akiimba mara baada ya kutangazwa  mshindi wa shindano la Airtel Trace Music stars  lililoshirikisha washiriki kutoka nchi 13 Afrika
Akon akimpongeza mayunga kwa kuibuka mshindi wa Airtel Trace Music Stars katika shindano la Afrika lililofanyika Naivasha Kenya.
Ofisa Mkuu Mtendaji wa Airtel Afrika Christian Defaria (kushoto) akimpongeza mwakilishi kutoka Tanzania Nalimi Mayunga mara baada ya kutangazwa mshindi wa Airtel Trace Afrika.
Nalimi Mayunga akiimba wakati wa fainali ya shindano la Airtel Trace Music Star la Afrika lililofanyika Naivasha Kenya.
Nalimi Mayunga azimia kwa furaha wakati akiimba mara baada ya kutangazwa mshindi wa Airtel Trace Afrika na kuwaacha hoi washiriki wengine 12 kutoka nchi za Afrika katika fainali zilizofanyika Naivasha Kenya
Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde ( wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa Airtel Trace Nalimi Mayunga mara baada ya kutangazwa mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars lililofanyika Naivasha Kenya. pichani ni  Meneja Masoko wa Airtel Tanzania Aneth Muga ( wa pili kulia) na baadhi ya mashabiki
mashabiki  kutoka Tanzania wakipepea bendera ya kumshangilia mwakilishi wao Nalimi Mayunga wakati wa shindano la Airtel Trace Music Stars
Baadhi ya mashabiki waliohudhuria finali ya Airtel Trace Africa wakimpongeza Nalimi Mayunga baada ya kuibuka mshindi wa Airtel Trace Afrika

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.