ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 1, 2015

SUPER KAMANYOLA @VILLA PARK MWANZA NI BALAA.

Rais wa bendi ya Super Kamanyola Shushu Di. Cando akiimba ndani ya usiku wa Burudani katika kiota cha maraha Villa Park Mwanza.
Rapa machachali 'Defender'
Two Brothers Rashid Mwezingo (kulia) na mwimbaji mwenzake Kadjo Litungu, hapa ni kikazi zaidi.
Hatariii.
Kadjo Litungu akiongoza safu ya Super kamanyola katika moja ya nyimbo zilizokuwa zikitumbuizwa toka jukwaa la Villa Park Mwanza. 
Dundadunda na Super Kamanyola.
Paratatam...pankupanku....!!
Karmodee (mpiga bass)
Mpiga solo Alan Mwepu.
Sele Cardance ndiye mkaanga chips aka drums.
Kikosi cha Super Kamanyola.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.