ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 9, 2015

LIVE KUTOKA KITAANI KWETU.


TAFAKARI YA BABU
Jamaa kaoa mke mshamba asiyejua uume wala mapenzi. 

Usiku wa ndoa, Mke akamuuliza mume, “ hiki nini?” 

Bwana akajibu, “Yaitwa popoo, ninayo mimi tu hapa duniani!!”

Huku jamaa akaongezea. 

Siku moja jamaa akasafiri. Kurudi mke akamuuliza “Mbona jirani yetu Noel naye anayo popoo wakati ulisema unayo wewe tu?”

Jamaa akajua Noel Keshamegaaa!!!!!!!. 

Kujibaraguza jamaa akajibu, “Nilikuwa nazo mbili, nikampa Noel moja”.

Mke akahamaki na kusema, “Iweje umpe Noel kubwa, nzuri na tamu ubaki na kipisi tu?, Nenda kachukue hiyo na umpe yako, kama hutaki nahamia kwake!!” 

Haya, tafakari hayo!!!………………………

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.