ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, January 25, 2015

KAGERA YATOTA TENA MCHEZO WA TATU IKIWA NYUMBANI

Mchezo wa tatu sasa Kagera Sugar inapoteza, tangu ilipouteuwa uwanja wa CCM Kirumba kuwa uwanja wake wa Nyumbani kupisha ukarabati wa uwanja wa Kaitaba unaowekewa nyasi bandia sasa kwa msaada wa FIFA 

Katika mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara uliochezwa Kagera imetota mbele ya Ndanda Fc mara baada ya kufungwa 1-2. ZAIDI SIKILIZA YALIYOJIRI DIMBANI

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.