ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, December 12, 2014

PICHA ZA KUELEKEA HITIMISHO LA KAMPENI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MWIGULU ALIVYO UNGURUMA HII LEO JIJINI MWANZA

Kampeni za serikali za mitaa jijini Mwanza zikiwa zinaelekea ukingoni Naibu Katibu Mkuu CCM Taifa Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Fedha leo majira ya saa 10 alasili amehudhuria mikutano kadha ya hitimisho na hapa alikuwa akishuka kwenye helkopta uwanja wa Magomeni Kirumba.
Kuelekea jukwaa la kuhutubia.
Naibu Katibu Mkuu CCM Taifa Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Fedha akihutubia wananchi katika uwanja wa Magomeni Kirumba katika kampeni za hitimisho kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo hii leo kwa kutummia usafiri rahisishi ameweza kupiga mikutano 10 katika maeneo tofauti tofauti ya mkoa wa Mwanza na mkoa wa Simiyu.
Naibu Katibu Mkuu CCM Taifa Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Fedha akikazia neno.
Wananchi katika viwanja vya Magomeni Kirumba.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Msukuma akihutubia wananchi wa Magomeni Kirumba jijini Mwanza.
Oyeeee....!!
Utulivu wa wananchi wakisikiliza sera.
Naibu Katibu Mkuu CCM Taifa Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Fedha akiwaaga wananchi uwanja wa Magomeni Kirumba mara baada ya kumaliza kuchagiza kampeni kuelekea uchaguzi serikali za Mitaa na mara baada ya hapo alielekea kwenye kusanyiko jingine lililofanyika viwanja vya mabatini.
Bye...bye....!!
Mkutano wa hitimisho viwanja vya Magomeni Kirumba Mwanza
PICHA NA ZEPHANIA MANDIA WA GSENGO BLOG.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.