ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 24, 2014

SHOW YA WEUSI FUNGA MWAKA YAFUNIKA MWANZA

Joh Makini akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza waliofurika kwa wingi Jembe Beach Malimbe Mwanza kushuhudia show ya WEUSI iliyofanyika jumamosi tarehe 22.
G. Nako hatari...
Bonta aliamsha iliyozuka at Jembe Beach Mwanza ile mbayaaa!!.
Gane ya Hip Hop...
Dr. Bonta on the stage.
Mpango mzima ukisimamiwa na Jembe ni Jembe show na burudani ilitoka kwenye vyungu vya Jembe DjZ.
Kidole kimoja juu Pamoja SANA.
Joh Makini akipagawisha raia.
The are.
Hip Hop.
Mwamba wa Kaskazini.
Mkurugenzi wa Jembe Dr. Sebastian Ndege katikati akiwa na wageni wake wakionesha ishara ya Moja 'PAMOJA SANA' ikiwa ni kauli mbiu  ya Jembe FM 93.7 Mwanza.
Jembe DjZ.
Lod Ezy.
Kutoka kushoto ni Dj Frank, Dr. Chacha, G. Sengo na James Njuu ambaye ni Meneja wa K Vant Gin Kanda ya Ziwa.
Lod Ezy akizungumza na raia.
Kumbukumbu kuhimu.
Damian Sour.
Nikki wa Pili.
Battle ya kujenga baina ya Nikki wa Pili (R) na G. Nako (L)
Watu na watu wao.
Hapa WEUSI, hapa Jembe....!!
G. Sengo along side producer wa Jembe Fm 93.7 Okeleky.
Hii ndiyo team ya mashambulizi kwa matukio at G.Sengo Blog.
Soon na Video utazipata.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.