ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, October 2, 2014

UTALII SIYO MBUGA ZA WANYAMA TU!

Mwananchi kitaani kauchapa tulii na wanyama..
Barabara za Kabuholo zama hizi za mvua.
Tafakari mwisho wa barabara.
Basi inasemekana ndani ya mjengo huu kuna bONGe la msusi atakaye kusuka mitindo yote duniani.
Kitaa.
Barabara zinazosubiri ujenzi wa mawe.
Kutoka Rock City taswira kando kando mwa barabara kuu iendayo Musoma. 
Mama zangu na dada zangu wachakarikaji.
Katika majira haya upanuzi wa barabara unaoendelea kwa kipande cha Mabatini hadi buzuruga kina kwamishwa na mvua sijui hali itakuwaje hapo baadaye.
Msaada kwenye tuta.
Ze daraja.
Msongamano nao ni sehemu ya utalii...ha...ha...haaaa!!

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.