ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, October 23, 2014

KWA SASA LAKAIRO INVESTMENT COMPANY LIMITED NI KILA KITU.

Mafuta ya kupikia.
Steel wool kwaajili ya usafishaji vyombo.
Kiwanda kwaajili ya uzalishaji.
Bidhaa tayari kuingia sokoni.
Bidhaa tayari kuingia sokoni.
Zana za ujenzi na ukandarasi.
Kuipanga zaidi.
Imara zaidi.
Usafirishaji.
Upakuzi na upakiaji.
Katika kujizatiti zaidi na kuhakikisha kuwa Kanda ya ziwa inakuwa kiuchumi kupitia biashara na viwanda Lakairo Investment Company Limited imeanza uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kurahisisha upatikanaji wa bidhaa za majumbani muhimu za kila siku, vilevile Lakairo imekwishaanza kuwekeza kwa umadhubuti zaidi katika eneo la ukandarasi na ujenzi, zaidi tupia macho papa hapa.  

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.