ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 21, 2014

GOLI LA TATU TOTO AFRICANS LASABABISHA MCHEZAJI WA GREEN WORIOUS KUTOKA DIMBANI AKISUSIA MCHEZO

Kocha wa timu ya soka Green Worious Lucas Anthony akizungumza na waandishi wa habari za michezo katika dimba la CCM Kirumba ambapo timu yake iliambulia kichapo cha bao 3-0 toka kwa Toto Africans. 
Kocha Mkuu wa Toto African John Tegete na vyombo vya habari.
NA ALBERT G. SENGO: MWANZA

GOLI la tatu la Toto Africans lasababisha mchezaji wa Green Worious Keneth Christopher kususia mchezo na kutoka dimbani bila kadi Nyekundu, katika mchezo wa ligi soka daraja la kwanza Tz Bara uliochezwa dimba la CCM Kirumba Mwanza. 
BOFYA PLAY KUSIKILIZA TAARIFA ILIYORUKA JANA USIKU SPORTS XTRA CLOUDS FM. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.