ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 24, 2014

COSTAL UNION WAKIFANYA MAZOEZI UWANJA WA KAITABA LEO TAYARI KWA MCHEZO WAO NA KAGERA SUGAR KESHO KAITABA

Kocha Mpya wa Coasta Union kutoka Nchini Kenya Yusuph Chippo akiwacheki Vijana wake kwenye Uwanja wa Kaitaba leo. Costal Union watacheza mchezo wao na Wenyeji Kagera Sugar kesho kwenye Mchezo wa Ligi kuu Vodacom. Picha na Faustine Ruta wa www.bukobasports.com
KOCHA wa timu ya Coastal Union ya Tanga, Yusuf Chipo akiteta jambo na Wachezaji wake leo kwenye Uwanja wa Kagera Sugar.
KOCHA wa timu ya Coastal Union ya Tanga, Yusuf Chipo amesema ameridhika na kiwango cha vijana wake na wako tayari kuwavaa Kagera Sugar kesho Jumamosi. 

Kagera Sugar wako nafasi ya tano wakiwa na pointi 5 sawa na Mbeya City baada ya kutoka sare ya bila kufungana na timu ya Mjini Shinyanga Stand United, Huku Costal Union wakiwa nafasi ya 3 kwenye Msimamo wa  Ligi kuu wakiwa na pointi 7.
Wachezaji wa Costal Union wakiwa makini kumsikiliza Mwalimu wao na kupanga mipango ya kutoka na Alama tatu muhimu kesho kwenye Uwanja wa Kaitaba. Picha na Faustine Ruta wa www.bukobasports.com
Wakati wa mapumziko kidogo
Nyoosha nyonga.
Sawazisha.
Vuta pumzi.
Kipa Shaaban Hassan Kado(wa pili kulia) wa Coastal Union nae aliambatana na kikosi 
Wachezaji wa Costal union wakitoka Uwanjani baada ya Mazoezi yao kumalizika kwa siku ya leo Ijumaa kabla ya kukutana na Kagera Sugar kesho jumamosi Kaitaba
Baada ya Kumaliza Mazoezi.
Wakiteta jambo!

Mchezaji wa Costal Union Razack Alphan

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.