ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, October 29, 2014

BREAKING NEWS: RAIS WA ZAMBIA MICHAEL SATA AFARIKI

Enzi za uhai wake rais wa Zambia michael Sata.
Aliyekuwa Rais wa nchi ya Zambia Michael Sata amefariki dunia akiwa mjini London, ambako alikuwa akipatiwa matibabu ya karibu sana  baada ya kipindi kirefu cha kuzidiwa huku serikali ikificha uhalisi wa kuumwa kwake. Vyombo vya habari nchini zambia vimeripoti.

Ripoti inasema kuwa Bwana Sata amefariki siku ya jumanne (jana) majira ya jioni akiwa kwenye matibabu London's King Edward VII hospital.

Kwa mujibu wa Serikali ya nchi hiyo ingawa tamko rasmi litafuata hapo baadaye taalifa inasema kuwa Sata, 77, aliondoka nchini Zambia na kwenda London nchini Uingereza kwa matibabu mnamo tarehe 19 ya mwezi Octoba akisindikizwa na mkewe pamoja na baadhi ya wana familia.

Huyu ni rais wa pili kufariki dunia akiwa madarakani nchini Zambia mwingine ni Levy Mwanawasa.

There has been no official update on his condition and acting president Edgar Lungu had to lead celebrations last week to mark the landlocked nation's 50th anniversary of independence from Britain.

Related Articles Zambia president 'assassinated' according to Wikipedia prank 23 Jan 2012 'Humiliating' work as Victoria station porter helped Michael Sata become Zambia's president 22 Jan 2012 Zambia's president, Michael Sata, urges Archbishop of Canterbury: 'send more missionaries' 12 Oct 2011 Concern over Mr Sata's health has been mounting in Africa's second-largest copper producer since June, when he disappeared from the public eye without explanation and was then reported to be getting medical treatment in Israel.

He missed a scheduled speech at the UN General Assembly in September amid reports that he had fallen ill in his New York hotel. A few days before that, he had attended the opening of parliament in Lusaka, joking: "I am not dead."

Mr Sata has not been seen in public since he returned to Zambia from New York in late September.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.