ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 1, 2014

SAFARI KASKAZINI MWA TZ.

Safari with my Catherine.
Pasua chini barabara, juu reli.
Stendi ya 'K'
Taswira barabarani kutoka wilaya ya same kuelekea wilaya nyingine mkoa wa Kilimanjaro.
Utalii wa ndani safi sana.
Nyumba ya wageni iliyoboreshwa zaidi.
Upepo mkali ile kinyama kilometa 40 zifuatazo.
Stendi ya wilayani Same kuna Marufuku...Chunga usije ukalimwa faini. 
Mazingira nje ya mji.
Wananchi wanaota jua.
Parking.
Kama mdudu ndani ya kokwa la embe (ukajiuliza kaingiaje) basi ndivyo jiulize tairi hilo chini ya huu mti lilipenya penyaje...!!?
Mawasiliano muhimu.
Biashara kuu kwa wasafiri ni mbogamboga.
Mountain.
Mti mteule kwa makazi ya ndege.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.