ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 30, 2014

HUAWEI WADHAMINI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO JIJINI DAR.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent Wen(kushoto) akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa HUAWEI.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent Wen akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano(hawapo pichani) wakati wa ufunguzi  ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa HUAWEI.
Washiriki wa mkutano huo.
Washiriki wa mkutano huo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent Wen(kushoto) akizungumza na wandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa HUAWEI.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.