ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 30, 2014

CHEKSHIA MWANZA KWANZA

Just an angle kona na kiunga cha barabara ya Stesheni kuelekea kulia na barabara ya Kenyeta kuelekea mbele kuleeeeee!!!
Barabara ya Stesheni na mtaa wake kwa mbele kushoto CBE Mwanza.
Juu kwa juu hadi jiwe la Bismark kando kando ya ziwa Victoria.
Parking kwa fasi ya barabara ya Posta pembezoni mwa majumba ya biashara na huduma mbalimbali jijini Mwanza.
Mnyororo barabara ya Kenyeta jijini Mwanza 
Nyamagana matengenezoni...
Kwa umbali kidogo.
Mazingira barabara ya Uhuru jijini Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.