ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 24, 2014

KAMPUNI YA BIDHAA YAMCHANGANYA BARACK OBAMA NA CHRIS SMALLING KATIKA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA KUHAMASISHA MASHABIKI TIMU YA UINGEREZA

Getty Images
KOMBE LA DUNIA 2014 NCHINI BRAZIL, Limekuwa si tu kombe la dunia la kusahau kabisa kuwazungumzia Uingereza dimbani kwa kusahau kama nao wanashiriki kombe hilo, bali pia limekuwa ni kombe ambalo hata baadhi ya makampuni yamepata ugumu kuweka picha sahihi za wachezaji wa timu hiyo ya taifa kwenye bidhaa za promosheni, kwani takwimu zinaonyesha wachezaji wa timu hiyo ya Uingereza hawajafanya lolote jipya ambalo lingeweza kuwafanya taswira zao kukaririka na kubakia vichwani mwa watu. 

Kampuni moja lililojikita katika utengenezaji wa thamani za majumbani ambalo linategemea kuvuna fedha nyingi kwa kuuza vikombe vya kunywea chai na kahawa vyenye picha za wachezaji wa timu za mataifa mbalimbali yanayo shiriki Kombe la Dunia ikiwemo timu ya Taifa ya Uingereza, limejikuta kwenye mkumbo huo wa kutobaini utofauti wa picha ya mchezaji Chris Smalling na ile ya Rais wa Marekani Barack Obama. Imebainika kupitia Gazeti la Sunday Express.

Unaweza kununua bila utata vikombe vya wachezaji kama Steven Gerrard or Joe Hart or Wayne Rooney na wengineo lakini utata unakuja pale utakapo kuwa shabiki wa Chris Smalling  na kuhitaji kikombe cha mchezaji huyo, utakutana na kitu cha utofauti na utastuka ukijiuliza maswali.. Jeh na huyu tena rais wa nchi nyingine ni mchezaji wa Uingereza?!!
Kikombe na utata:- Jina ni mchezaji husika timu ya taifa ya Uingereza, picha ni ya Rais wa Marekani Barack Obama. 

Rais wa Marekani Barack Obama hachezi kama mtu wa kati kwa klabu ya  Manchester United na wala timu ya taifa ya Uingereza.

Realizing its mistake, the company turned to online re-seller Wholesale Clearance UK to dump the error-filled inventory.
The Dorset company in question (whose blushes we shall protect for now....maybe!) was given the seemingly easy job of sourcing royalty free pictures of each England squad player to use on the England mugs – along with other accompanying items such as England coasters, England mouse mats etc.  They passed this onto to their young, bright eyed and bushy tailed new apprentice.  The designs were proofed and signed off by the Boss, who had clearly had a heavy night with the lads playing poker and before he’d had his first vat of coffee the following morning.
Due to our ongoing commitment to help local companies get their products noticed, last Wednesday 2,000 of each of the England items came into the warehouse.  We eagerly unpacked them and on close inspection it turned out that the Chris Smalling cup had Barack Obama’s head on instead of Chris’s.
The apprentice claims that he used that well known search engine, Google, to source the pictures. The thing is he’s more of a rugby fan and not very clued up on football.  Suffice to say that when he Google image searched ‘Chris Smalling’ he copied the first picture he liked the look of and the result was that the President of the United States has ended up on an England cup instead of the English defender.
So, if you would like to purchase 2,000 Obama England national team mugs, it will run you £2,000. They're bound to be collector's items by now. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.