ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, May 29, 2014

WAREMBO WANAOSHINDANIA MISS TABATA 2014 WAENDELEA KUJINOA KWENYE UKUMBI WA DAR WEST PARK.


 Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye ukumbi wa Dar West Park.
 Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi.
 Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa watokelezea kwenye pozi tofautitofauti wakati wa mazoezi yanayoendelea eneo la Tabata Dar West Park.
Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la  Miss Tabata 2014 wakiwa kwenye mazoezi.
  Mwalimu akimwelekeza mmoja wa warembo wakati wa mazoezi
Ilifika kipindi cha kutoa burudani ilikuwa ni noma sanaaaaaa!!!!!!

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.