SIKIA MPANGO MZIMA LEO PALE BUZURUGA PLAZA MWANZA.
Malkia wa Taarab nchini Tanzania Khadija Omar Kopa akiwasili katika uwanja wa ndege wa jijini Mwanza asubuhi ya leo kwaajili ya kutoa burudani kwa wakazi wa Mwanza hii leo (Ijumaa) katika ukumbi wa Buzuruga Plaza Nyakato.
The Super Roxx Abdul Misambano akiwasili katika uwanja wa ndege wa jijii Mwanza asubuhi ya leo kwaajili ya kutoa burudani kwa wakazi wa Mwanza na vitongoji vyake kwenye usiku wa Mitikisiko ya Pwani katika ukumbi wa Buzuruga Plaza Nyakato jijini Mwanza.Kiingilio ni shilingi 10,000/=. Vaa, Nukia, Pendeza kwani langoni kuna Red carpet kwaajili yako hivyo twataka picha za kunukia!!!
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.