ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, April 25, 2014

JOE MAKINI KUPAMBA SHINDANO: TIMU ZA POOL VYUO VYA MWANZA WAKABIDHIWA JEZI NA SAFARI LAGER.








Msanii wa nyimbo za kizazi kipya, Joh Makini (Mwamba wa Kaskazini) akiwa kwenye mahojiano ya Live Metro Fm Redio kuhusu fainali za Safari Higher Learning Pool Competition 2014 katika Ukumbi wa Shooters Pub jioni ya leo kuanzia saa mbili jiaoni.Kushoto kwake ni Mneja matukio Kanda ya ZiWA , Erick Mwayela na Katibu wa chama cha Pool Mwanza.
Wakiwa kwenye mahojiano ya Live Metro Fm.
On air Live Metro Fm
Sasa ni mahojiano katika kituo kingine cha Radio Passion Fm Mwanza, kuhusu burudani na fainali za Safari Higher Learning Pool Competition 2014 katika Ukumbi wa Shooters Pub jioni ya leo kuanzia saa mbili jiaoni kushoto ni mtangazaji Philbert Kabago na kulia ni Joh Makini.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.