ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, April 17, 2014

CHICHI MAWE AJIFUA KUMKABILI MTHAILAND APRIL 19 NA MOHAMED MATUMLA MEI 10 PTA SABASABA.

Kiongozi wa Lazima Ukae GYM Gulamu Kassim kushoto akipambana na bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi hiyo iliyopi Kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa na mpambano wake na  Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutokaThailand April 19 na Mohamed Matumla Mei 10 mipambano yote itafanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba.
Kiongozi wa Lazima Ukae GYM Gulamu Kassim kushoto akimwelekeza bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi hiyo iliyopi Kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa na mpambano wake na  Bondia SukkasemKietyongyuth  kutoka Thailand April 19 na Mohamed Matumla Mei 10 mipambano yote itafanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.