ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, February 22, 2014

SAFARI YA MWISHO YA MWENYEKITI WA CCM MTAA WA PWANI KATA YA KUNDUCHI BENEDICT TIBEHENDERWA

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mtaa wa Pwani Kata ya Kunduchi Benedict Tibehenderwa umeagwa leo na mamia ya watu  na kuzikwa nyumbani kwao Tegeta jijini Dar es salaa.
Mjane wa marehemu (aliyejitanda kanga katikati) akiwa na mwanae (aliyebeba picha ya marehemu) wakiwa na ndugu jamaa na marafiki katika hospitali ya Muhimbili ambako waliufuata mwili wa marehemu kwaajili ya hatua nyigine kukamilisha safari hiyo ya mwisho ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mtaa wa Pwani kata ya Kunduchi marehemu Benedict Tebehenderwa.
Rodha Tibehenderwa ambaye ni Mama mzazi wa marehemu (aliyeshika fimbo ya kutembelea ) akiwa na dada zake katika sehemu ya kuusubiri mwili wa marehemu hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaa.
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mtaa wa Pwani kata ya Kunduchi marehemu Benedict Tibehenderwa ukitoka mochuari ya hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaa kuelekea nyumbani kwake Tegeta kwaajili ya hatua nyingine.
Gari lililobeba mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mtaa wa Pwani kata ya Kunduchi marehemu Benedict Tibehenderwa.
Vijana wa CCM wakiliongoza gari lililobeba mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mtaa wa Pwani kata ya Kunduchi marehemu Benedict Tibehenderwa kutoka katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaa..
Kisha msafara ulielekea nyumbani kwa marehemu.
Makamanda na mwili wa kamanda wao.
Mjane wa marehemu aliwa na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM.
Kutoka kushoto ni Edgar Mapande ambaye ni mdogo wake marehemu, Oliver Sengo, Owen (mtoto wa kwanza wa marehemu), Hamza Iddy na Jafari Magege. 
Histori ya marehemu ikisomwa.
Jumuiya ya wananchi walio hudhuria.
Mstari wa mbere uliongozwa na safu hii.
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kunduchi akitoa wasifu wa marehemu.



Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.