ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, February 14, 2014

PICHA ZAILIZOVUJA HII LEO MAANDALIZI YA VALENTINE MWANZA SKYLIGHT BEACH RESORT.

Dj Mafuvu tayari kesha tinga Rock City na hapa akiwa eneo la tukio Skylight Beach Resort Malimbe Mwanza na mambo ya sound check kwaajili ya tukio la leo usiku mambo Valentine's day na Foolmoon Party.
Ni moja kati ya taa zilizofungwa katika moja ya kona za kiota hiki cha burudani tegemea kubadilika na kuwa spesho usiku huu.
Mkare Front bar ni moja kati ya viunga vitakavyo tambulishwa usiku huu.
Dj Denis ni mmoja kati ya wakali watakao sababisha manukato ya burudani akishow love kwa kamera mbele ya Jembe's Speakers zinazotoa mtwango ile kinyama.
Si utani....!!!!!!!
Kaunta imesheheni vyoooote vimiminika halafu kwa bei nafuu huwezi amini.
Mzigo wa ukweli ... tulisha kwambia mlangoni utakutana na Coctails za hatariiiiii...!!!!
Kamata kitu 'soma lebo'
Toka kaunta ya 'Mkare Bar' his is yours.
Maandalizi ya Red Carpet kwaajili ya mapicha ya kutupia kwa Instagram, Face book, Twitter, Blogs, Badoo na kwingineko..... 


the area na siti yako...
Dj Nelly Hope wajua mavituz yake akikaa on the one and two.
Ni baadhi tu ya watoa service Jembe.
Mafuvu is waitting 4 you.
Yukiiiiiiii ndukiiiii...moko.
Ze area.
Toka sakafuni.
Kitalii zaidi na Big Screen kwaajili.
Kiingilio na nini na nini soma 'lebo'

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.