ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, December 6, 2013

AIRTEL BINGWA KUFUNGUKIA MBAGALA ZAKHIEM KESHO

 
WASANII WAKALI NEY WA MITEGO NA YOUNG KILLER KUONYESHANA NANI BINGWA … KATIKA HIP HOP MBAGALA

Haya sasa mabingwa woote WA AIRTEL BINGWA  kula bata pamoja wikiendi hii Mbagalaaaaaa

Kama wewe ni bingwa wa kusakata kabumbu na kuonyesha umahili wa kumiliki mpira njoo KESHO tuonyeshe jumamosi hii MBAGALA ZAKHIEM kuanzia saa sita mchana mpaka saa 12 na nusu…..zawadi kibao kutolewa jezi, tisheti, ……….

On stage atakuwa wasanii huku atakuwa Ney wa Mitego pande ya huku atakuwapo Young killer  bila kuwasahau Vinoko shackers ndani,

Piaaaa wadada kumi wazuriii watachuana kupiga dana dana live.

Huku tukishuhudia draw ya Mimi Bingwa watu wanavyojishindia mamilioni na ticket ya kwenda old Trafford kuangalia live mechi za  Man U bureee

Kama haitoishi Sasa screen kubwa ya ukubwa zaidi ya mita  4 itaonyesha live mchezo wa Man u na Newcastle united

Kiingilio ni BUREEEEE

Bata hili linaletwa kwenu na Airtel kupitia Promotion ya Mimi ni bingwa

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.