ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 11, 2013

FILAMU YA DASMILA KUTINGA SOKONI MWISHONI MWA MWEZI HUU

FILAMU  ya DASMILA inatarajia kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu akizungumza katika safu hiiMkurugenzi wa  DJ Marketing & Promotion ambao ndio wasambazaji wa kazi hiyo,Haulle Daniel amesema kazi hiyo ime kamilika kwa asilimia zote hivyo wapenzi wa filamu wakae mkao wa kula kwani imewashilikisha wasanii wengi akiwemo Shamsa Frod,Jack Pentzel, Elias Mkali, Shaban Dicosta na wasanii wengine wanaotamba katika anga za filamu nchini
Filamu hiyo ya mapenzi ambayo kuna mambo mbalimbali ya kuelimisha jamii ya kitanzania  ambapo
DASMILA aliyeuawa kipindi cha nyuma kidogo, arudi tena kama mzimu, na mengi yanatokea. Fuatilia.. Familia, vichekesho na vimbwanga, mapenzi, kukosa uaminifu, visa na mikasa kibao
 ambayo yatapatikana katika filamu hiyo ambayo imetengenezwa kwa ubora wa ali ya juu na itakayokuwa ikisambazwa na kampuni ya kizalendo ya DJ Marketing ya jijini Dar es salaam

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.