ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, May 3, 2013

MAMIA WAJITOKEZA SAFARI YA MWISHO KUMSINDIKIZA MWANASHERIA KITWALA

Mwili wa marehemu Elias Kitwala (wakili wa kujitegemea) ukiwa katika kanisa la AICT Bugarika wakati wa ibada ya kumwombea ambapo walioketi kulia ni Bi Joyce Masunga (katibu wa CCM Mkoa), Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nyamagana Raphael Shilatu wakiwana waombolezaji wengine wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali, mahakimu, mawakili na wafanyabiashara.

Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akitoa salamu za rambirambi.

Mchungaji wa AICT Bugarika akitoa ushuhuda juu ya kazi njema za marehemu enzi za uhai wake kwa kulitumikia kanisa na  taifa lake.

Baadhi ya mawakili na waombolezaji wengine wakifuatilia mahubiri ya askofu wakati wa misa ya kuuga mwili wa marehemu Elias Kitwala.

Walioketi kutoka kulia ni Deogratius Rutha (katibu wa CCM wilaya ya Nyamagana), Bi Joyce Masunga (katibu wa CCM Mkoa), Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nyamagana Raphael Shilatu

Sehemu ya waombolezaji waliojitokeza leo katika misa ya kuuga mwili wa marehemu Kitwala.

Nje ya kanisa ni sehemu ya waombolezaji waliojitokeza leo katika misa ya kuuga mwili wa marehemu Kitwala.

Wanachama wa CCM kata ya Pamba na wilaya ya Nyamagana wakiwa nje ya kanisa la AICT Bugarika wakisubiri kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM kata ya Pamba marehemu Wakili Elias Kitwala.

Misa ikiendelea utulivu ukitawala ndani ya kanisa la AICT Bgarika jijini Mwanza.

Viongozi,kutoka kushoton ni Katibu mwenezi wa CCM Nyamagana..., Simon Ntambi ambaye ni katibu wa CCM kata ya Pamba, Ole Porokwa katibu wa CCM wilaya ya Ilemela, George Masha na Dkt. Magabe ambaye ni katibu mwenezi wilaya ya Ilemela wakitafakari nje ya kanisa la AICT Bugarika.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.