ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, March 28, 2013

CLOUDS CREW YATEMBELEA STUDIO ZA ONE LOVE FX

Kutoka kushoto ni Mr. Hypa ambaye ni producer wa video ndani ya Studio za One Love FX, mtangazaji wa Passion Fm  Philbert Kabago, Sebastian Maganga ambaye ni Production Manager wa Clouds Fm, Dj Fetty, Joff Leah, producer wa audio na video ndani ya studio hizo TIDDY Hotter na Director Shahib, pindi Radio ya watu ilipo fanya ziara fupi kwenye studio hizo wilayani Ilemela jijini Mwanza.

Mara baada ya kuwasili kwenye himaya ya studi hizo, Clouds Crew ilitembezwa kila kitengo kujionea shughuli zinavyofanywa na wadau hawa waliowekeza kanda ya ziwa.

Producer wa audio na video ndani ya studio za One Love FX  TIDDY Hotter (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Clouds Crew pindi ilipofanya ziara kwenye himaya hiyo.

Production manager wa Clouds Fm Sebastian Maganga akifurahia jambo na wadau kwenye moja ya kazi zilizofanywa chini ya One Love FX  Studio Mwanza... elekeza jicho lako Clouds Tv kujionea sambamba na kuisikiliza 'redio ya watu' makubwa yaja mwanawane.

Hapa macho na masikio yote yalielekezwa kwa Director Shahib aliyekuwa akifafanua jambo.

Hypa na one mic.

Prizenta wa Sports Xtra Joff Leah na one mic.

Sasa ni wakati wa tathinini.....

Li-picha la pamoko.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.