Watoto hawa walikuwa wakitega samaki kwa kutumia ndoano hatimaye wamenasa kuku maji.
Mie katika kijiji cha wavuvi wilayani Nyamikoma Magu mkoani Mwanza.
Michezo ya watoto ufukweni.
Pozi la kurejea toka shambani baba jembe mkononi mama kuni kichwani na mbwa mlinzi.
Wavuvi bado hawajatia utii nyavu zisizo ruhusiwa.
Usafishaji nyavu na uanikaji.
Nyavu anikoni.
Enzi za NCU Bandari hii ilikuwa bize kwa kusafirisha pamba nchi mbalimbali afrika mashariki lakini hii leo eneo hili limegeuka sehemu ya kuanikia dagaa.
Style ya kuanika dagaa.
UBALOZI WA TANZANIA NCHINI PARIS WAONGOZAA USHIRIKI WA WADAU MAONESHO YA
UTALII YA B-TRAVEL
-
Na Mwandishi Wetu, Barcelona
UBALOZI wa Tanzania nchini Ufaransa ambao unawakilisha pia nchini
Uhispania, kwa kushirikiana na Bodi ya Utalii Tanzania ...
45 minutes ago