Anaitwa Anastazia Dulianus miaka 18, ni mwenyeji wa Wilaya ya Serengenti mkoani Mara, amefika jana Hospital ya Mkoa lakini mpaka sasa hajapata huduma yoyote .
Mzazi wake wanatafuta fedha za kwenda kupima nyama ya Mguu wake KCMC Moshi, binti huyu anahitaji msaada wa kifedha hivyo atakayeguswa na mateso haya ayapatayo binti huyu afike wodi namba 4 Hospital ya Mkoa wa Mara.
Au fanya mawasiliano kwa namba 0756 035 825
Katika kumsaidia Dada Anastazia tumia akaunti namba022201093996 NBC
WAKABIDHIWA ZAWADI MBALIMBALI KUPITIA VUNADEILE
-
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Tree Oceans Ltd .
Inayojishughulisha na uendeshaji wa mchezo wa kubashili wa VUNADEILE Nasee...
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.